Bukobawadau

LIBENEKE LA BUKOBAWADAU NA NUKUU YA LEO;

NUKUU YA LEO ;"...YES, ni kweli kuwa wakati mwingine mtu anayekupenda na kukujali anaweza kukubali kuishi na maumivu ndani yake, ikiwa anaona kuwa hiyo ndio njia pekee ya kukufanya wewe uwe na furaha, lakini haimaanishi kuwa utumie mwanya huo kufanya kwa makusudi mambo ya kumchukiza. Hayo yatakuwa matumizi mabaya ya thamani anayokupa, na ambayo siku zote huishia kwa yeye kukudharau na kukuchukia"
Next Post Previous Post
Bukobawadau