Bukobawadau

MDAU WA MULEBA AIPONGEZA BUKOBAWADAU BLOG.

Mh. Hassan Milanga pichani ni Diwani wa Muleba Mjini.
 Ndg Milanga ameipongeza Bukobawadau blog kwa jitiada za kuendeleza libeneke hili aidha amesema hakujua mapema ni nini kinacho endelea kwani ni mara nyingi anapigiwa simu na  watu mbalimbali na kuambiwa ili na lile asa katika matukio aliyoshiriki.

MDAU  HASSANI MILANGA AMEAHIDI KUTUPA USHIRIKIANO USUSANI KATIKA HABARI NA MATUKIO  YA HALMASHAURI YA WILAYA MULEBA.!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau