Bukobawadau

NUKUU MUHIMU;Uwezi kujua kuwa umepata mpaka UPATE. Na hupati kwa kuwa umetaka kupata, bali kwa kuwa tu UMEPATA. Kwa maana nyingine, kwa kila ulichonacho au uliyenaye,si kwa kuwa ulitaka / ama kupenda, bali kwa kuwa UMEPATA. Basi thamini ulichopata kwa kuwa wapo walioTAKA kuwa nacho au kuwa naye lakini hawakuPATA.... Utashi si umiliki.!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau