Bukobawadau

Bayern Munich 2-1 Real Madrid ni Bao la Gomez linalowapa Matumaini Buyern

Ni bao la Buyern lililopatikana dk ya 17  kipindi cha kwanza kupitia kwa  mshambuliaji  Frank Ribery, na bao la Madrid limefungwa na mchezaji Cristiano Ronaldo baada ya kazi nzuri ya Karim Benzima.
Mcheza wa timu ya taifa ya Ujerumani na Buyern  Gomez ndiye aliyetupia bao la pili kwenye dakika ya 90 na kuipatia timu yake ushindi wa 2-1 dhidi ya Madrid katika nusu fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa.
Mtanange  huo umechezwa usiku wa jana  kwenye uwanja wa Allianz ArenaM.
Next Post Previous Post
Bukobawadau