Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU-WADAU WA LIBENEKE HILI WAKUTANA KUFAHAMIANA!!

Wadau wakubwa wa blog hii wakutana kwa lengo la kufahamiana  ni usiku wa jana pande za Mbalamwezi.
Anaonekana Mdau Bi Asmah na Omg Tuntu wadau hawa mara kwa mara wanatoa ushirikiano mkubwa katika update zinazotokea  jijini Dar es salaam.
El Bajaj katika picha ya pamoja na Jodah
Ni katika kutekeleza Ilani ya mahusiana na Bukobawadau  blog,shukrani za pekee zimfikie mtu mzima Jo' (kulia)kwa kuzidi kutuhunganisha....!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau