Bukobawadau

MVUA KUBWA ZAENDELEA KUNYESHA MJINI HAPA

Hali inavyoonekana maeneo ya katikati ya Mji hii leo  hapa ni Stand ya Mabus
Pitapita za  abiria na Wapiga debe katika hali ya Mvua na tope katikati  ya  Stand ya Manispaa ya Mji Bukoba
Hapa ni maeneo ya Mjini katikati, hali ni mbaya zaidi maeneo ya kanoni na Wakazi wa Omkigusha ndani ya  kata Bilele.
Next Post Previous Post
Bukobawadau