Bukobawadau

DUA YA KUMPONGEZA MDAU NASEEB SONGORO KWA KUPATA MKE YAFANYIKA HII LEO BARABARA YA ONE WAY(MTAA WA HAKI) MJINI HAPA

Mdau Naseeb Songoro kushoto
Ndg Mgunda Kushoto na Mdau Kazinja.
Wazee wetu wakiingia eneo la tukio  anaonekana Sheikh Haruna Kichwabuta akifatiwa na Mzee Galiatano na kwa mbali anaonekana Mzee Abdul Ziad Kashinde.
Shughuli hii ilmewashirikisha wadau wengi wa mjini hapa kiasi cha kufunga mtaa.
Kwa nyuma namwona Mzee Nurag na katikati yupo Mzee Kinobi huyu na mzee Kalasha Rajabu Songoro walikuwa na nasaba kubwa sana.
Sheikh Kakwekwe ndiye aliyeendeleza shughuli nzima kwa mawaidha yanayo kwendana na shughuli yenyewe kabla ya kumkaribisha sheikh wa Wilaya Sheikh Haruna Kichwabuta kutupia nasaha kidogo.
.Sheikh Haruna Kichwabuta.
<><>
<><>
Mdau Mbaule na mdau Mwishi ni sehema wa waalikwa.
kitu Menu
Wadau wakiendeleza Ngama
Hapana Chezea Pilau Wewe!!!!!
Hawa tayari japo bado Wanahitaji!!!!
Kila Mdau alitembezewa Maji ya Rwenzori.
Akinamama nao maweshiriki
Next Post Previous Post
Bukobawadau