Bukobawadau

CAMERA YETU NDANI YA MISIFA BARBER SHOP JIJINI MWANZA

Nikiwa nimefika hapa kupata huduma sahihi inayostahili,Camera yangu uso kwa uso na Mwanadada  Aneth maarufu kama Aneth wa Ukerewe,
 Mdau huyu mwenyeji wa Bukoba ameonekana mwenye Siha njema kama kawaida
Japo sikuweza kupata maelezo ya kina juu ya Mdau huyu ambae tumepotezana ni  muda ila kwa haraka haraka alionyesha ni mwenyeji sana eneo hili.
Huku na kule huduma zinaendelea kama kawaida.
Mambo ya usafi wa kucha  yakiendelea kwa Mwenzangu , Mdau Mkubwa katika libeneke hili maarufu kama Kaka Mkuu.
 Picha ya timu ya wahudumu iliopo kazini  hii leo, na maelezo niliopata kutoka kwa  Mkurugenzi wa Misifa Kadanke Bandio Erasimus George ni kwamba timu zipo tatu kwa siku tofauti tofauti.
 Katikati ni Mkuruenzi wa Misifa akiwa na wafanyakazi wake ndani ya ofisi hii mpya.
Next Post Previous Post
Bukobawadau