Bukobawadau

DIAMOND AFUNIKA ILE MBAYA CLUB LINAS BUKOBA;Wadau Wapagawa, Yeye asema hatoisahau Bukoba!!!!!!!

Msanii Diamond na kundi lake wakiwajibika Jukwaani
Shughuli kubwa ikiendelea ndani ya Club Linas..
Dogo anajulikana kwa Jina la Mkusini Itembwe bila shaka ni mwanafunzi na kesho anatakiwa Class.
Ni mda mrefu nimeshuhudia Show ya Bongo Flava yenye kama ,na hii ni kwa miondoko hii....sa kazi ipo siku ya Pasaka Onyesho la ROMA MKATOLIKI !!!!
 Unaweza ukasahau yaliojili  kwa jirani au Arumeru usiku huu...
Ni picha ambayo Diamond Mwenyewe tumekaa meza tukaelewana hivyo  ameichukua ni kazi nzuri ya Bukobawadau Blog.....
MDAU PIGA MAKOFI TAFADHALI..!!!!!! 
Tuache picha zijieleze,ila nikuombe tu ndg mdau wa blog hii tupia comment hapo juu na angaza upande wa kushoto kabisa weka like sehemu ya facebook na itakua mkazuzu zaidi kama utajoin kama member na utapata update moja kwa moja.
Kama kuna watu muhimu katika kusimamia kuelekeza,kujitoa na kuamasisha uwepo wa Blog hii, basi wadau hawa watatu kwa pamoja natamani kuwabeba....!!!!
Kwa matukio zaidi na habari za nyuma nakumbushia Usikose kugonga neno "Older post" mwisho ya page hii kulia ili upate page nyingine na matukio mengineo.
Bi Maua (mau)alishindwa kujizuia na hapa anafanya  kutunza...
Watu WEweeeeeee!!!!!!
Show ikizidi kuchukua kasi hii ni  katika wimbo wake wa LALA SALAMA.
Ni katika kuangaza huku na kule namna wadau walivyo jiachia.
Mwanamke Umbo hulkha ni majaliwa.....!!!!!
Ililazimika NGUVU  za ziada kutumika baada ya Mashabiki kuvamia Jukwaa.
Camera yetu ikawageukia Wananzengo na Wadauwakubwa wa Bukobawadau Blog na Misifa Classic Wear
Diamond Are Forever
Jamani !!!!Jamani!!! Diamond ni katika picha ya Juu Mdau akijaribu anavyoweza kujaribu....!!!
 Ni Full KAULULE ..ni Full Vimbwanga
Blog ni Nyingi  ila Bukobawadau Jamani....!!!!!
Mashabiki wa Msanii Diamond .
Diamond akizidi kukinukisha....
Mashabiki wakizidi kujiachia, hakika ulikuwa usiku wa aina yake.
Uwezo ni mkubwa sana Jukwaani.....
Mshkaji anasema yeye ni Mdau mwenzetu!!!!!
Matukio Mengine ni Uwezo wa kazi, Uchaunabe,Umjini flani,kutoa macho mda wote kwa utayari au ni kujua halama za Nyakati.
 Bukobawadau tunawatakia Wadau wote Jumatatu Njema...!!
Wadau tunapenda KUTUMIA fulsa hii kukuomba kujiunga na libeneke hili kwa kutupa ushirikiano wako kwa kutoa Comment ,Ushauri na ikibidi kujiunga na sisi kama member wa site hii kwa kujoin moja kwa moja kama followers....Comment ni kitu pekee kinachoweza kutujuza sie ni aina gani ya habari unapendelea ili tuweze kulisongesha vyema libeneke hili!!
.Mwisho wa Show kila mtu KALIDHIKA.
Picha ya pamoja ya Wanafamilia wa Onyesho hili lililo fanikiwa kwa kiasi kikubwa.!!!!

 BUKOBAWADAU BLOGSPOT ARE FOREVER!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau