Bukobawadau

HIVI NDIVYO ILIVYOKUA JUMAPILI YA MATAWI KANISA LA MUDA RUMULI

Mhashamu Baba Askofu Nestory Timanywa akielekea kuanza Ibada ya Matawi.
 Waumini kwa pamoja katika adhimisho la Ibada ya Matawi.
Baba Askofu Nestory Timanywa akibaliki Matawi katika Ibada hiyo.
Mh. Fabian Massawe (kulia)naye alikua sehemu ya waumini waliohudhulia Ibada ya Matawi.
Anaonekana Mdau Geofley(Majoff) katika Ibada.
Picha ya Juu ni wanafunzi wa Shule ya Amani na Picha ya pili ni Wanafunzi wa Kajumulo High School nao walikuwa miongoni mwa waliohudhulia Ibada ya Matawi.
Mtoto PETTY  katika furaha.
Baba Askofu akitoa  zawadi kwa watoto.
Baada ya Ibada kulikuwepo na Mlo wa pamoja kati ya Baba Askofu pamoja na Vijana.
Anaonekana Katibu wa Vijana wa Parokia ya Bukoba Ndg Avitus Rweyemamu.
Mdau Fortunatus Anthony  akipata Msosi.
Bi Belina Bernald maarufu kama Kokuna na  mwenzake wakipata Msosi pamoja na Baba Askofu.
Pichani Mdau Tibbe akipata mahakuli.
Baada ya Chakula ,Baba Askofu akiwa katika picha ya pamoja na Vijana  mara baada ya maadhimisho ya Sherehe ya Matawi.( ambapo kimsingi Jumapili ya Matawi ni sherehe ya Vijana.)

PICHA KWA HISANI YA MUSHAHIRIZI MTUMISHI MDOGO.
Next Post Previous Post
Bukobawadau