Bukobawadau

SHOW YA MSANII DIAMOND LIVE NDANI YA LINAS CLUB TAYARI WADAU WAMEANZA KUMIMINIKA UKUMBINI

 Wadau wakiwa wametulia tayari kwa show ya Diamond anaoneka Bi Mgeni Idrisa na Mwanazaire na Mdau Kauthar....
Ni usiku wa Diamond Ndani ya Linas Night Club...Onyesho hili limedhaminiwa na Misifa Classic Wear kwa ushirikiano mkubwa na Bukobowadau Blog.
Wasanii wa Nyumbani wamepata shavu na kuweza kumsuport Msanii Diamond, Pichani ni Msanii Bk Sunday akiimba kwa hisia
Kwa swagar za kinyumbani,miondoko ya (kaurule)na Chankomela wanafanya vyema wanenguaji wa Msanii Bk Sunday.
Kama kuna Onyesho lililowahi kuvuta hisia za wadau wengi basi hili nalo nimiongoni.!!
 Akina nanihiiiii nao wapo kibao tu!!!
Mdau Ibrahimu Idd Maburuk  akifatilia kinacho.
 mmmmmmmmmmh!!
Hakika wadau wanaonekana wamejipanga vyema....KATIKA HILI  Bukobawadau tutakupa full libeneke  usicheze mbali mdau...
Wadau wakifanya tadhimini,na kufatilia Perfomance ya Watoto wa Nyumbani kabla Diamond ajaingia Ukumbini.
Msanii wa Abba One, ni msanii wa hapa hapa Nyumbani,ni mkali wa R&B naweza nikasema kwa uwezo alionao basi tu Nyota haijamuakia!!!!!
 Erasi mmiliki wa maduka ya misifa classic wear akiwa na Sadath Boutique mmiliki wa maduka ya SADATH BOUTIQUE..ama kwa hakika hawa ndio wakali wa pamba na wanaotupiga pamba bukoba nzima.
 Kwa mapicha zaidi stay tuned ili upate uhondo live..
Next Post Previous Post
Bukobawadau