Bukobawadau

FOLENI KALI JIJINI DAR HII LEO KUTOKANA NA MVUA ZINAZONYESHA.

Maeneo ya Mikocheni pembeni ya Shoppers Plaza hali ni tete .
Barabara ya Kawawa eneo la Msasani Drive jirani kabisa na  Ubarozi wa Marekani .

Foleni inakuwa kubwa kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na maji kujaa baadhi ya sehemu barabarani,taa za kuongozea magari kuzimika na  zaidi ya yote ni matrafiki kukimbia mvua.
.
Next Post Previous Post
Bukobawadau