Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU VIUNGA VYA MANISPAA YA BUKOBA

Hapa na pale Ujenzi wa Jengo la ghorofa nne ukiendelea kati ya makutano ya barabara ya Arusha na barabara ya Kashozi.
Shughuli ya malekebisho  pembezoni mwa barabara mbalimbali ukiendelea ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Mafundi wakiendelea kulichanganya zege.
 Pikipiki maarufu kama Asecdo  anaonekana mdau akiendelea bila Mteja.
Bukobawadau Blog katika kila kile kinachoendelea Mjini hapa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau