Bukobawadau

MAMA MZAZI WA KANUMBA NI MWENYEJI WA IZIGO -ITOJU KABOYA WILAYA YA MULEBA KAMA ALIVYO ONGEA NA BUKOBAWADAU BLOG

Mwandishi wa 90.0 Vision Fm Radio Bi   Matrida akifanya Maojiano na  Ndg wa Marehemu Kanumba Bi Velonica.
Mc Baraka akimfariji Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba Bi Flora.
Ni Bi Matrida akimfariji Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba.
Mama Mdogo wa Marehemu Kanumba. akiongea na Bukobawadau amesema taratibu za mazishi  watatujulisha mara tu baada ya kufika Dar es Salaam na wamesema wangependa mazishi yafanyike Dar.
Wadau na Ndg wa Marehemu Kanumba, katikati ni Bi Velonica Ndg wa Marehemu.
Simu mbalimbali za rambirambi zikimfikia Mama Mzazi wa Kanumba mara kwa mara.
Msibani pia yupo Mkurugenzi wa 90.0 Vision Fm Radio Ndg Valelian.

HIVI PUNDE TUTAKULETEA MAHOJIANO YA AUDIO NA VIDEO  JUU YA KILE ALICHO KIONGEA MAMA MZAZI WA  MAREHEMU KANUMBA  JUU YA KIFO HIKI IKIWA NI PAMOJA NA MATUKIO YA UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA  MSIBANI DAR ES SALAAM
Next Post Previous Post
Bukobawadau