MSIBA WA KANUMBA NI SIMANZI NA MAJONZI KWA MAMA YAKE MZAZI BI FLORA NA NDG NA JAMAA WALIOPO BUKOBA;Matukio ya Air Port Bukoba
Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba katika hali ya simanzi,hii ni muda mchache akiwa Uwanja wa Ndege Mjini hapa kwa safari ya kuelekea Dar es Salaam kwenye Msiba.
Bi Flora alikuja nyumbani Itoju Izigo- Kaboya Wilaya Muleba kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka.
Hali ya Simanzi na sura za majonzi kwa wanafamilia wa Marehemu Kanumba.
Inauma sana Ndg Wadau.
Mama Mzazi wa Kanumba tayari kwa Safari ya kutoka Mjini Bukoba kuelekea Jijini Dar es Salaam.
Mdau unaweza kuona Video juu Interview hapo juu na kusikiliza Audio kati ya Mama Kanumba, Vision Fm Radio na Bukobawadau Blog.