Bukobawadau

MDAU DEONISE MALINZI AKABIDHI PIKIPIKI KWA UMOJA WA VIJANA WA CCM MKOA KAGERA

Jumla ya Pikipiki saba zilizotolewa kwa Umoja wa Vijana wa CCM  Mkoa na Kamanda wa  Umoja wa Vijana Ndg Deonise Malinzi zenye thamani ya shilingi milion kumi na laki saba.
 Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM   Mkoa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM  Mkoa Mama Costansia Buhiye.
Mama Costansia Buhiye ambaye ni  Mwenyekiti wa CCM  Mkoa wa Kagera.
Ndg Deonise Malinzi Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM  Mkoa  wa Kagera.
Ndg Malinzi amewaasa Vijana kuwa waaminifu ili kukisaidia chama kupata viongozi wazuri.
Ndg Deonise Malinzi akikabidhi pikipiki kwa  Katibu wa CCM  Wilaya.
Mwisho wa makabidhiano wanaonekana Wadau wakipiga makofi kwa furaha baada ya pikipiki kujaribiwa.!!!
 Kila laheri  kwa Mdau Deonise Malinzi!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau