Bukobawadau

MECHI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA MUUNGANO YAZIKUTANISHA TIMU 2 ZA VETERAN; Anatory Aman yashinda 4-1 dhidi ya Kakakuona

Kikosi kamili cha timu ya Veteran ( Anathory Aman) kilichoibuka na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya Kakakuona.
Timu ya Veteran maarufu kama (kakakuona)
Mgeni wa Heshima Kaimu Kamanda wa Police wa Mkoa Mr. Mlolele,akisalimiana na nahidha wa Kakakuona Kiungo Al -Amin Abdul(mnyemnye)
Kabla ya mechi Mgeni rasmi akitoa nasaha kwa timu zote mbili.
Mechi hii ya timu mbili zinazopatikana ndani  ya  Bukoba Veteran ikiwa ni  Kakakuona Fc na Anatory Aman Fc timu zenye upinzani mkali wa kutisha.
Mtanange unaendele ,anaonekana Kiungo mchezeshaji wa Kakakuona akijaribu kutoa pande.
Majukumu ni kila mtu na Mtu.
Wadau wa Soka wakifatilia kwa Umakini.
Wanaonekana wadau wakifatilia kwa ukaribu. 
Akipiga Jalamba ni mtu mzima William Rutta wa Fc Anatory Aman.
Bao la kufutia machozi la Kakakuona limepatikana kipindi cha pili baada ya kuingia Mchezaji mahiri Abdulrazak Majid
Bao la tatu la FC Anathory Aman limepatikana kwa njia wa penati kupitia kwa  mshambulia Hassan, hivi ndivyo anavyotupia...
 Rajabu Paulini...
 Salum Bonge kwa raha zote ....!!
Mdau Mainda Kassim
Mkufunzi wa Soka Ali Kagile akitete jambo....
Hali ni tete kwa Fc Kakakuona wanaonekana mchezaji Kakengi akiwa kichwa chini.
Pichani anaonekana Lisa,Mbaga , Afande Mathias na Said Bunduki wakishangilia.

Mpaka mwisho wa mchezo huu Anathory Aman bao 4 na Kakakuona bao 1.Magoli ya Anathory  yamefungwa na Lisa  Mwalupindi magoli 2 na  Hassan Iddy magoli 2 na lile moja la Kakakuona limefungwa na Abdulrazak Majid.


Next Post Previous Post
Bukobawadau