Bukobawadau

PAMBANO LA NGUMI ZA RIDHAA BONDIA NEMES SEVELINI AMTWANGA HAMAD RASHID KWA POINT

Bondia Nemesi Sevelini  atangazwa mshindi baada ya kumpiga  Hamad Rashid kwa point katika pambano la round 10 lililofanya usiku wa leo Ukumbi wa  STRANTON LINAS.
Mwamuzi wa mchezo huo akisubiri kutangazwa kwa mshindi.
Piga nikupige
 Wadau mbalimbali wakifatilia ndondi usiku huu.
Toka enzi za Kaijanante huwezo kuzungumzia Mchezo wa Ngumi Mjini hapa bila kumzungumzia Mzee Athmanan Kiboko pichani.
 Wasaidizi wa Nemesi Sevelini wakizingatia...
Mpaka round ya 8 hali ilikuwa tete kwa bondia Hamad Rashid Pichani.
Mazingira tata ya Ulingo alimanusura Mdau nijeruhiwe!!!
 Mashabiki wa Masumbwi wakionekana kujigawa kimakundi kutokana na kambi zao.
Huyu ni Jaji namba moja
Hapa kuna neno litafata naomba tuendelee
 Jaji namba mbili ...INAENDELEA..
.
Next Post Previous Post
Bukobawadau