Bukobawadau

YANGA WAZIDI KUPOTEZA KANDA YA ZIWA YAFUNGWA 1-0 NA WAKATA MIWA WA KAGERA; Mgeni Rasmi ni Kanali Mstaafu Mh. Fabian Massawe.

Kikosi cha timu ya Kagera Sukari kilicho ifunga  timu ya Yanga 1-0  kwenye uwanja wa kaitaba mjini hapa.
Kikosi kamili cha Yanga kilichopewa  kichapo na wakata miwa wa Kagera Sukari jioni ya leo.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh  Kanali mstaafu Fabian Massawe akisalimiana na wachezaji wa timu ya Y anga.
Wapenzi wa soka Jukwaa la Golani maarufu kama Jukwaa la Balimi.
Zengwe likiendelea...
Mpira Ukiendelea.
Piga nikupige langoni mwa Yanga..
Mpaka mapumziko Kagera walikua wakiongoza kwa bao moja lililowekwa wavuni na Mchezaji Shija baada ya kazi nzuri ya Michael Katende.

Kocha wa Yanga Kostadin Papic akiwa kichwa chini!!!
Mashabiki wa Yanga kama kawaida Ngumi Mkononi
Mwonekano wa Wadau Jukwaa Kuu.
Mdau Mama Nuru(kashai line) yeye na yanga damu damu kaingia uwanjani na Kadi ya uwanachama na picha kadhaa.
Mh. Kanali Massawe  na Katibu wa KRFA Ndg  Chama Jumanne Umande.
Shabiki mkubwa wa timu ya Kagera Sukari akiendeleza mdedezo kama kawaida ni Mdau Sajid (Kashai line)
Hapana chezea Wagadi  wewe!!!
Uncle Sadick Kushoto, Mdau Malima, Ndg Enock na da # 1 Mc Baraka mwana libeneke hili.
Basi kama kuna mtu anawezana na soka la kibongo ni Muhammed Hussn pichani ni Msemaji wa timu ya Kagera Sukari.
Abdulrazak Majid wa Kasibante Fm Radio akiendelea kuwajibika.
Hii ni bukobawadau blog ,Unaweza kufollow kwenye twitter ili upate update zetu za papo kwa papo au follow @dj cool mc ni mwendo wa libeneke na update  za nje na ndani.
Pia unaweza kulike kwenye facebook page yetu kwa kugonga ubavu wa kushoto kwenye sehemu ya facebook  kwa pamoja tutaweza.
Wanahabari wa Vituo mbalimbali vya Radio, pembeni ni Bi Judy mdau mkubwa wa Soka.
Bench la Wachezaji wa Kagera Sukari.
TBC nao walikuwepo .

Next Post Previous Post
Bukobawadau