Bukobawadau

CHONDE CHONDE KWA WAKAZI WA HAMUGEMBE, KASHABO, OMUKIGUSHA NA UKANDA WA MTO KANONI BALAA HILI LA MVUA SI LA KUBEZA!!!!


Eneo la Kanoni  njia ya kuitafuta hamugembe kutokea Stand kuu kwa Nyuma.
Nyumba iliyozingirwa  na maji  maeneo ya Omukigusha ndani ya Kata Mama Bilile katika Manispaa ya Bilele
Hii ni  taflani  maeneo ya Omukigusha
 Njia ya Makaburini kuelekea Hamugembe hali haisemeki
Balaa si polepole
Daraja la kanoni  shughuli za wauza nguo na bidhaa mbalimbali  haziendelei ,Vibanda ndio hivyo katikati ya maji.
Wadau wakishangaa  juu ya wingi wa maji.
 Pande za Nyakanyasi hali iko hivi.
    Mitaa ya Uswahili maeneo ya kwa Mama Ruhaka inaonekana nyumba ya Nesi maharufu mtaa huu ikiwa imezingirwa na maji
Binti mwanafunzi akijaribu kukatiza barabara hii ya Nyuma ya Kanisa la Kengere tatu
Kadanke akijiandaa kutoka masikani!!!
Nyumba iliyobomolewa na Mvua.MATUKIO ZAIDI TUNAENDELEA KUTUPIA HIVI PUNDE.
Next Post Previous Post
Bukobawadau