Bukobawadau

MKUTANO WA CHADEMA NDANI YA KATA KASHAI UNAENDELEA HIVI SASA

Mamia ya wadau waliojitokeza kwenye mkutano wa Madiwani wa Chadema wenye lengo la kuzungumzia maendeleo ya Manispaa ususana na kero mbalimbali za viwanja.

 Diwana wa kata ya Rwamishenye Mh. Dismas akiongea na wananchi.
 Anaonekana Mbunge wa viti Maalumu Mama Conchesta Rwamulaza kushoto , Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Bukoba ndg Shelejei  na wa mwisho ni mwenyekiti wa Chadema mkoa Ndg Wilfred Rwakatare.
Next Post Previous Post
Bukobawadau