Bukobawadau

HABARI MATUKIO KATIKA SEND OFF YA BI JOYCE KAITESI

 Sherehe ya Wazazi kumuaga Binti yao Bi Joyce Kaitesi mzaliwa wa Nyamkazi Bukoba na Harusi itafanyika Juma hili jijini Mwanza.
Kwa mashamsham, ndelemo,bashasha, Shangwe  na style aina yake ndivyo wanavyo ingia Ukumbini Wapambe wa Bi Joyce Kaitesi.
Pamoja na hili na lile muhimu ni zawadi hizi za kiasili.
 Ni taratibu za tamadumu zikichukua nafasi  kama unavyojionea
Sherehe hii iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Bukoba Club hakika ilipambwa na kuvutia kwa naksh mbalimbali sambamba na Wadau wenyewe walioshiriki.
Mdau akicheck na Camera yetu wakati sherehe ikiendelea.
Akiwa ni MC'S wa muda mrefu toka Continental by Nate Mzee Faustin Kalugendo anaonekana akijiandaa kufungua Shampein .
Miongoni mwa Picha ya pamoja iliyosimama vyema.
Muda muafaka wa kupata Mlo.
Pichani ni Mdau Baby Kibengwe akiendeleza utaratibu.
Camera mkononi pia  macho kwenye Camera hakika inapendeza!!!!!
Wageni waalikwa anaonekana Mama Rugusha  kushoto, katikati  ni Mama Aziza  Mama Sadru .
Ni habari matukio kupitia Bukobawadau Blog.
Next Post Previous Post
Bukobawadau