Bukobawadau

HALI YA BARABARA YA MAFUMBO KATA YA KAHORORO NA MAENEO MENGINE

Hii ni hali ya barabara ya Mafumbo na Kahororo hapa ni kati junction maarufu ya ghala la Chama cha ushirika Mafumbo( sosiety)  barabara haipitiki kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
Wadau wakijaribu kukwamua gari lililokwama kwenye dimbwi la maji na matope.
Hiii ni barabara ya Kashenye Kashai.
Hali ya miundombinu ni tete eneo hili linaloaminika kuwa na wakazi wengi ni barabara ya  Kashenye Kashai.
Next Post Previous Post
Bukobawadau