Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU.

Mdau wa siku nyingi mjini hapa Ndg Hamasha akiwa amejikita ofisini kwake pande za kasindaga kulia ni swaiba wake Ndg Mkude.
Mdau na Mlezi wa libeneke hili akifanya manunuzi ya viazi vitamu njia panda ya Kasindaga.
Moja kati ya mighahawa maarufa sana pande za Kasindaga.
Kaka Self Mkude katokea kumfeel Msela pichani.
Uhalisia wa maisha tuliyonayo.
Njia panda kuelekea Chuo cha ualimu katoke.
Ingawaje tunaambiwa elimu ni  Silaha na tunaelezwa  Ualimu ni Wito.
OMG hii ndio tofauti tulionayo bukobawadau na blog nyingineyo tunafanya kila jitiada kukupa kile kinachostahili , pichani wanaonekana wadau wakielekea Mtoni  kufua Nguo ni uhalisia wa wengi tulipopitia
 Moja kati ya Mighahawa maharufu ufikapo Kasindaga.
.Nakutana na Wadau katika pitapita zangu kulia ni Ndg Abdallah.
Ni vile tu Mdau Stevin kushoto alivyo onelea yeye  kwa pamoja wakicheck na Camera yetu.
Ikiwa ni ombi mahalumu kutoka kwa Mdau H.Kagambo akiwa UK (kushoto)ni Mdau Jamal Jamco Kalumuna bila shaka tumetekeleza ipasavyo na kulia ni Dj Cool Mc wa libeneke hili nikiwa
Next Post Previous Post
Bukobawadau