Bukobawadau

HIVI NDIVYO WAANDISHI WA HABARI KAGERA WALIVYOTOA MSAADA KWA WAGONJWA KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA HABARI.

Wanahabari wakielekea ndani ya hospitali kuu ya Mkoa kutoa  msaada kwa wagonjwa  waliolazwa Wadi ya watoto namba 7.Pichani anaonekana Mdau Audax Mutiganzi mwanachama wa KPC .
 Kushoto ni mwenyekiti wa Chama cha wahandishi wa habari wa Mkoa Kagera Ndg John Rwekanika akikabidhi msaada kwa mganga mkuu wa wadi.
Bi Angel Sebastian mwanachama wa KPC.
Mdau Kalunde Antidius  sehemu ya washiriki katika tukio hili.
Mdau Bi Renatha Chipaka kama anavyo onekana pichani.
..Anaonekana Ndg Phinias Bashaya  ambaye  ni katibu mtendaji wa Chama cha wanahabari mkoani Kagera akiwafariji Wagonjwa.
Kushoto ni Mwanahabari Ndg Ponsian Kaiza na kulia ni Bi Lilian Rugakingila wa Mwananchi Communication.

BAADAE WANAHABARI HAO WALIJUMUIKA PAMOJA KATIKA UKUMBI WA COFFEE TREE INN KUSHEREKEA SIKU YA HABARI.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Mh. Fabian Massawe akiongea na Wanahabari katika hafla fupi iliofanyika kwenye ukumbi wa Coffee Tree Inn.
Sehemu ya Waalikwa.
Kushoto ni Mdau Julieth na Mdau Livinius ni wanahabari.
Ndg Jonas Gilbart
Pitapita za wahudumu katika kufanikisha vyema hafla hii.
Ndg Phinias Bashaya akisoma lisala kwa Mgeni rasmi.
Anaonekana Ndg Bashaya akikabidhi lisala kwa Mgeni rasmi.
Bi Angel Sebastian wa Uhuru na Mzalendo  na Bi Angel F. Massawe wakifatilia kile kinacho endelea.
Ikafika wasaa wa wadau kupata mlo  pichani anaonekana Mdau Gilbart Makwabe mkongwe wa habari za utafiti pia ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha wahandishi wa habari Kagera.
Kwa kutumia fulsa hii Bukobawadau Blog tunawaomba wanahabari wetu kutoa ushirikiano katika kuendeleza libeneke hili.
Mgeni rasmi akifungua Muziki.
Swagger Cont. Kama anavyo onekana Mzee Pius Ngeze na wadau wengine......
Next Post Previous Post
Bukobawadau