Bukobawadau

MKUU WA MKOA MH. MASSAWE KATIKA MTAA KWA MTAA ,NYUMBA KWA NYUMBA AKIKAGUA USAFI

Mh. Massawe akiendeleza kukatiza mitaa mbalimbali katika kuimiza zoezi la wakazi na usafi wa mazingira pia kutoza faini  pale inapobidi
Zoezi hili  linafanyika kila siku za Alhamisi.
Uku wadau wakitangaziwa kukaa mkao wa utayari  kabla  Mh. Massawe ajafika kwenye makazi yao, hapa anaonekana  Mh. akichaniza kwenye uchochoro.
Maofisa  walioambata na Mkuu wa Mkoa  katika zoezi zima.
Next Post Previous Post
Bukobawadau