Bukobawadau

ZIARA INAENDELEA UPANDE WA KAHORORO MPAKA MAENEO YA MUGEZA

Pitapita za wadau katika barabara  ya kahororo kuelekea vijiji vya jirani.

Moja kwa moja kwenye mazingira ya shule ya sekondari ya kahororo
Kahororo sekondari ni shule yenye viwanja vya michezo, mabweni yakutosha,nyumba ya mkuu wa shule,mashamba, nyumba ya mlezi, nyumba za walimu na bwalo la mikutono au Chakula.
Historia ya shule hii sio kwa ubora wa elimu tu bali pia kuwa na walimu wakali wenye kupenda sana maendeleo ya wanafunzi wao.
Jengo la utawala la shule ya sekondari  Kahororo
Ni Camera yetu ikiangaza pande mbalimbali
Mashamba yaliopo jirani na shule hii...
Kwa udongo huu hapa ni kilimo cha  Nanasi na  muhogo
Next Post Previous Post
Bukobawadau