Bukobawadau

HAFLA FUPI YA UZINDUZI WA NYUMBA YA MLEZI WA BUKOBAWADAU

Mwonekano wa wa Nyumba hii
Mama Mzazi wa Mdau Justuce  akibadilishana mawazo na  wadau wenzake.

Mama Junior aka Kisha around the side
Anaitwa Subira  binti kisura na mwenye mtoto ni Mama Joram.
Mojawapo ya Chumba katika nyumba hii
Sehemu ya wageni waalikwa
 Hawa Hassan, Bi Joyce na  Mrs Mugisha (Bi Teddy)
Ni wasaa wa Ibada kwa ajili ya Chakula.
Mdau Evody na katibu Optaty Kajuna wakipata hutuma stahili.
Kampuni ya HH ilihusika katika swala zima la kuandaa msosi.
 Papaa Mkubwa Justuce "TAKING OVA"na pembeni ni Mdau Piddy kikubwa kutoka kwake siku zote anasema Mwenyezi Mungu ni Mkubwa.
Wageni waalikwa wakiendelea kupata huduma ya Msosi... Dogo Ditto wa Evody Boutique ni sehemuya wadau husika.
 Wadau wakiendelelea kupata msosi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau