Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU-MDAU KUMBUKA KUGONGA NENO OLDER POST ILI KUPATA HATUKIO YA NYUMA KILA MWISHO WA UKURASA KWA CHINI.

Nakutana na wadau hawa uwanja wa ndege katika kumsindikiza Mgeni wao
 Bi Rehana Gulam katika picha ya Pamoja na Baba yake Mzee.
 Anaonekana Mzee Makoye (kushoto), Mh. Meya wa pili na Mh.Ghulam Meya waManispaaya Shinyanga katikati, Ndg Matias Lujiga na Ndg Robert  Kwela.
Kutoka kushoto ni  Mh. Nassoro Mnambira,katikati ni  Mh.Gulamhafeez Mukadam na wa mwisho ni Ndg Richard  Kwitega msaidizi  wa Ras Kagera.

MDAU USISAHAU KUGONGA NENO OLDER POST ILI KUPATA MATUKIO YA MUDA MFUPI ULIOPITA!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau