Bukobawadau

OMBI MAALUM KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI NA MRS ADVENTINA MATUNGWA MKURURUGENZI THE WALKGARD HOTEL AND TOURS NA MPAMBAJI WA HARUSI HII JUUYA MATUKIO ZAIDI YA HARUSI YA MDAU INNOCENT M. AMANI NA JOSEPHINE J. MOSHY YA TAREHE 1/6/2015

Utambulisho ukiendelea upande wa wazazi wa Bwana harusi.
 Hapa sijui ni nani anamzengua Mwenzake.....!!!!!!
Ni utambulisho wa Wageni Maalum kutoka mikoa jirani pichani ni Ndg Gulam Hafeez Mukudam Meya wa Mji wa Shinyanga.
Sehemu ya familia ya Mh. Amani Baba mzazi wa Bwana harusi na ni Mh. Meya wa Manispaa ya Mji BUKOBA.
Na katika kuangaza mdau unaombwa pia KUTUPIA jicho lako upande wa kushoto wa Blog yetu ili uweze kulike kazi yetu ya kujitoa na kujituma kupitia sehemu ya facebook  sambamba na kukuomba kujoini kama member wa libeneke hili.
Pongezi kutoka kwa Baba Mzazi
Hundi iliyokabidhiwa na kamati ya maandalizi
Sehemu iliyopambwa kwa shughuli maalum ya kuhifadhi zawadi, ni kazi nzuri ya Mdau Mrs Adventina Matungwa.
 Zawadi kutoka kwa Bibi.
 Safi sana wahusika...

Sehemu ya Wanakamati ila hawa ni wale wa mstari wa mbele kabisa...
Kwa haraka haraka ni vigumu kujua ni wapi wanaelekea na ni wapi wametokea 'Chezea furaha'
Katika kupongezana anaonekana kuchangamka Mh. Meya.
Mambo hadhalani
Washirika katika sherehe hii  Mh. Ibrahimu Maburuki na Mh. Bigambo 
Wadau pichani ni Mama F.na Nyuma yake ni Mh. Chief wa Mvuto.
Mwenyekiti wa Harusi Ndg Philbart Nyerere akisababisha pia.
Pongezi zikiendelea na Mdau Mpoki akisherehesha.
Ni raha, furaha,na burudani wadau wakijiachia kadili wawezavyo.
Safi sana Mdau Sadath Boutique kwa kuwapendezesha  Vijana hawa hakika kazi unaiweza!!!!
Madhali kwa uhalisi.
Burudani kama kawaida .
Na tukukumbushe ndg Mdau mpenzi wa libeneke la bukobawadau,  Blog hii inahusiana na habari zozote kutoka sehemu yoyote ivyo usisite kutushirikisha kwa tukio lolote lile kwa kututumia habari au picha kupitia email zetu hapo juu au kwa kuwasiliana na sisi kupitia +255 715 505043 ,+255 784 5050 45 na +255 768 397 241 na tunatumia fulsa hii kutoa shukrani zetu kwa wadau wote wanaotupa ushirikiano kwa ukaribu
.Muda wa kupata Mulo.
 Bi harusi  Josephine J. Moshy mzaliwa wa Moshi.
Mdau Anathory Amani , Mh Meya mjini hapa na  Mzazi wa Bwana Harusi .
Kifuatacho baada ya Msosi

Gonga neno older post ili kupata matukio ya muda mchache uliopita
Next Post Previous Post
Bukobawadau