Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY MDAU ABDULRAHIMU MAWENYA (SIMBA)

Bukobawadau Blog inakutakia Ndg Abdulrahimu(Smba) heri ya kutimiza miaka kadhaa hii leo 7/6/2012 ,Pia pokea Salaam  kutoka kwa mkeo Rukia  Kassim Mawenya na watoto wako Lulu na Nadia, Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu na yenye mafanikio tele!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau