Bukobawadau

KITUKO CHA LEO

Polisi mmoja
kafika kituoni
amevaa viatu vya
rangi
tofauti,kimoja
cheupe kingine
cheusi
AFANDE:"Askari
kwanini umevaa
viatu rangi
tofauti? Nyie ndio
mnatia aibu kikosi
cha polisi rudi
nyumbani ukavae
vizuri"
Baada ya muda
polisi akarudi
amevaa vilevile
AFANDE:"Ala..askari
mbona umerudi
vile ulivyokuwa"
POLISI:"Afande
nimefika nyumbani
nikakuta hata vile
vya nyumbani
kimoja cheusi
kingine cheupe"
Next Post Previous Post
Bukobawadau