Bukobawadau

MAPOKEZI YA MWIMBAJI TAARAB MAHIRI NCHINI KHADIJA KOPA NA PICHA MBALIMBALI ZA BAADHI YA WASHIRIKI WA MISS LAKE ZONE INTER-COLLAGE 2011

Muandaaji wa Onyesho la Miss Lake Zone Inter-Collage 2011 Mdau Joseph Rwebangira  mara tu baada ya kumpokea Bi Khadija Kopa anayetegemewa kuwa kivutio kikubwa katika kuwapamba warembo wa Miss Lake Zone Inter-Collage kwa usiku wa kesho ndani ya Linas Night Club.
 Ndege imewasili mjini hapa ajira ya saa 9 mchana.
 Waweza kufatilia EXCLUSIVE INTERVIEW niliyofanya na Malkia Khadja Kopa kupitia AKAUNTI yetu ya  Twitter na You Tube.

 Mshikaji ameoa na anawatoto wawili  anaitwa Dear Mama, hakika yeye na Mabinti damudamu
Camera ya Bukobawadau Blog inafika Smart Hotel ilipo kambi ya Walimbwende hawa nakuta wengine wamepumzika na wengine wamejiongeza mchangana nikimaanisha pande za beach.
 Ni habari matukio ya picha za baadhi ya Washiriki.
Warembo 3 kati ya 10 watakaoshiriki.
Hapa wapo Jumla ya Warembo 6  kati ya kumi watakaoshiriki shindano hili.
 Camera yetu na mikato ya Walimbwende wetu
 Katikati ni Mdau Revocatus Biro mmoja ya waandaaji wa Onyesho hili.
 Mdau Aman Kabuga  kulia Mtangazi 88.5 Kasibante Fm Radio

 Imekuaje ikawa hivi... ata Sijui?!!!!
 Washiriki wa Miss Lake Zone Inter-Collage 2011 wakiwa Kambini ,picha ya pamoja na Bi Khadija Kopa.Hapa ni Smart Hotel waliopo Barabara ya Nyamkazi Mjini Hapa na ni sehemu ya Wadhamini wa Onyesho hili.
 Pichani ni Madron wao.
Hizi ni Swagger tu usiogope mdau!!!!
 Kushoto ni Mkurugenzi wa The Sloper Promo&Entertainment ndg Haji Mtelemko.
Bukobawadau blog tunapenda kutumia fulsa hii kutoa shukrani kwa Wadau Nyote mnaotupa Ushirikiano kikubwa katika kuendeleza libeneke hili ni  kukubali  na kulidhika na kile kidogo tunachokiweza huu ni mwanzo tu!!!!!.... Changamoto ni nyingi ikiwa ni pamoja na ghalama za uwendeshaji hivyo waweza kutupa support yoyote kwa kuwasiliana nasi kupitia namba zetu hapo juu  au +255 715 505043,0754 505045,+255 768 397 241 au Email yetu!!!!!!!

.
Next Post Previous Post
Bukobawadau