Bukobawadau

MUSTAFA KHABIBU NA SHAKIRA JUMANNE MOHAMED WAMEREMETA

Bi harusi Shakira Jumanne Mohamed akiwa saloon kabla ya kufunga ndoa
Mawifi ,wakwe wakiingia nyumbani kwa bi harusi kuleta mahali
Bwana harusi Mustafa Khabibu wa kwanza kushoto akiwa na wapambe wake
Wazazi wa bwana harusi


Bwana harusi Mustafa Khabibu katika pozi maridadi
Shekhe Idrisa nae alikuepo
Kutoka kulia ni Baba wa bi harusi Mr.Khabibu


Bi harusi akisign mkataba wa ndoa
Haji haruna kushoto akifungisha ndoa


Mkurugenzi wa manisapaa ya Bukoba katikati Ndugu.Hamisi Kaputa
Bwana na bibi wakiwa pamoja baada ya kufunga ndoa
katika picha anaonekana dada wa bibi harusi Bi sakina aliyesimama akitoa sapoti kubwa kwa maharusi hawa
Mashemejiii!!!
Akina mama nao hawakuwa nyuma hapa ni baada ya ndoa kufungwa vilipigwa vigelegele shangwe na nderemo
MUDA WA ACTION!!!
ACTION INAENDELEA!!!
Ulifika mda wa kuserubuka ilikua hivi!!
Kutoka kushoto ni Bwana Dawson kaka wa bibi harusi akiserebuka karibu kabisa na dada yake Sakina Jumanne,katikati kabisa anaonekana Ustadhi kwenye motion ya hatari
Sakina akiendeleza kucheza na baba yake mzazi kulia Mr.jumanne Mohamed ama kweli ilipendeza sana
Mustafa Khabibu na Shakira Jumanne wakimeremeta
Kutoka kushoto ni Bi Lilian na katikati ni bi sakina


Bi harusi katika pozi 
Kulia kabisa ni mzee Jumanne Mohamed baba wa bibi harusi akitoa zawadi kwa maharusi hawa
Mzee Jumanne Mohamed baba wa bibi harusi akiendelea kutoa zawadi na hapa anatoa zawadi ya Ng'ombe kwa maharusi hawa
Mama wa bibi harusi Bi Rukia Jumanne nae akitoa zawadi kwa maharusi hawa
Mama harieth nae akitoa zawdi kwa maharusi 
Mkurugenzi wa manispaa ya Bukoba Bw.Hamisi Kaputa pembeni akiwa na my wife wake Bi Sakina Jumanne wakitoa zawadi kwa maharusi 
Maharusi hawa walipendeza kweli kweli kwa mavazi yao UNIQUE
maharusi wakiondoka ukumbini

BUKOBAWADAU BLOG.....TUNAWAPONGEZA SANA MAHARUSI HAWA KWA KUFUNGA NDOA.

NA
NA NDUGU WADAU KAMA UNA TUKIO LOLOTE  USISITE KUWASILIANA NASI KWA 
SIMU NO. 0715 505043 AU 0768 397241
bukobawadau@gmail.com
Next Post Previous Post
Bukobawadau