Bukobawadau

HABARI NA MATUKIO YA WADAU KITAANI

Camera yetu inakutana na wadau pichani wakipeana mikakati ya kimaendeleo.
Ile naongea nao mawii matatu  Mdau Bonge Kyatwa ananionyesha  tukio lake la hivi karibuni,bila kuofia natoa Camera yangu na kuchukua picha hii ili tumpe pongezi kwa pamoja.
Ile tu naondoka eneo hili nakutana na kitu ingine.
Kitu chenyewe ni Mali ya Mdau Mlezi Peter Mgisha  na na de crear interest katika hili mapema  make ni mmiliki  wangu naomba tumpe pongezi pia.
Kama vile ni siku ya kukutana na magari mapya kwangu.
Naanza  kuhoji juu ya  Gari hili , nagundua ni mali ya Mdau mwanadada mpambanaji Rukia Mawenya  Kassim  inanilazimu kukuomba pia tumpongeze kwa pamoja mdau.
KCC ni shabiki na mpenzi wa libeneke hili Ndg Shukuru  Kabyemela (Maruku moja.). pongezi kwako kaka!!!.
Next Post Previous Post
Bukobawadau