Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU JUMAPILI HII MAENEO YA MCHANGANI

Camera yetu ikiangaza maeneo ya fukwe za kiroyera inakutana na wadau wakifurahi kwa kucheza mpira wa wavu (Volley ball)
Washikaji wakiwa wamechill huku wakisindikiza siku kwa maongezi ya hapa na pale.
Pitapita katika eneo la beach,hakukuwa na watu wengi kama ilivyo kawaida katika fukwe za ziwa victoria kwa siku za jumapili.
 Mabinti wakiwa wamechill na Ommy!!!
Washikaji wakiwa mchangani
  Wanandugu wakiendeleza maisha mchangani
Wanandugu wa familia ya Kalikawe wakiendeleza maisha  fukweni
 Pitapita zikiendelea ufukweni.
 Bubu msela wa kitambo akisikilizia pande hizi kama kawaida.
 Ndani ya ofisi ndogo ya Kiroyera Toura iliopo ufukweni hapa
Nakutana na mhusika akiperuzi libeneke la Bukobawadau Blog.
Next Post Previous Post
Bukobawadau