Bukobawadau

HII LEO PANDE ZA MCHANGANI TUNAMUANGAZIA MSANII MAUA NA WADAU MBALIMBALI

 Camera yetu ikiangaza pande za fukweni  inakutana na Kundi la muimbaji maarufu wa nyimbo za asili Maua, Chenkula maarufu kama "owakatambala"wakiwa katika mataarisho ya video mpya.
 Mnenguaji wa kiume akionyesha "MIECHOCHO" na umahiri wake
 Hii ndio Sound inayotupa audio clip
 Wasanii wakibadilisha mavazi ili waonekane maridadi
 Kwa jina la usanii anajulikana kama Sado
 Wadau wakifuatilia kinacho endelea.
 Wananzengo wakisikilizia
 Najitolea kufanya kazi ata kama sio kazi inayonihusu
 Utengenezaji wa video ukiendelea.
 Mnenguaji  katika pozi
 Wadau wakiwa ufukweni.
 Wawili hawa Bi Kabibi na Mdau Soma wakimiminika fukweni
Wadau wakicheck na flash yetu pande za fukweni
Mashabiki wa Bukobawadau blog katika picha
Usafiri anaotumia mkurugenzi wa Vision Fm Radio anapokua katika mizunguko yake.
Wenzangu walivyo jiachia  hii leo
Maelezo mengi yamenitoka ili nipate picha ya mtoto huyu aliye onekana anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu wa ngozi na nimepewa angalizo NISIONGEE kitu kuhusu mtoto huyu
Nikiendelea  kuangaza fukweni hapa  nakutana na vijana watata wakiendeleza maisha
 Kinadada wakiendelea na mchezo wa karata .
Mdau Yusuph Wastara akijiongeza na  watasha.
 Mimi binafsi nikiwepo.!!!!
 Waleeeeeeeeeee wakichukua kasi....!!!!
 TUPIA COMMENT MDAU KUONYESHA USHIRIKIANO KATIKA KUSUPORT LIBENEKE LA WANABUKOBAWADAU.
Next Post Previous Post
Bukobawadau