Bukobawadau

SHEIKH HARUNA KICHWABUTA KUENDELEZA DARASA KWA WAUMINI WA KIISLAM.

 Sheikh wa Wilaya  ya Bukoba Mjini Sheikh Haruna Kichwabuta akiendelea kutoa darasa kwa wahumini wa kiislam kila siku baada ya Swala  ya Laasir ndani ya msikiti wa Jamia.
 Ni mwendelezo wa mafunzo ya kila siku ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao imeshuka ndani Qur-ani tukufu.
Waumini wa Kiislam wakiendelea kumsikiliza Sheikh Haruna akitoa mafunzo wa Subira katika mwezi huu wa Ramadhani ikiwa ndio kwanza kumi la kwanza linayoyoma!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau