Bukobawadau

LIVE KUTOKA UKUMBI WA COFFEE TREE INN-"IMUKA SINGERS" WAKIPASHA KABLA YA TAMASHA KUANZA

 Baadhi ya waimbaji wa kundi la "Imuka Singers) wakiwa katika hatua ya  kupasha koo kabla ya tamasha maalumu kwa ajili ya Wazee wa Kagera hii leo.

 Sauti zinavyo pangiliwa hapo we acha tu!!!!
Tamasha hili litahudhuliwa na wageni mbalimbali Mgeni Rasmi ni Mh. Mkuu wa Mkoa Fabian Massawe.
Mdau akifurahia Midundo mitamu ya  "Imuka Singers"
 Mdau John Mgango mwimbaji maarufu   mwenye kipaji cha aina  yake (kushoto) akijadili jambo na kiongozi wa "Imuka Singers" Ndg Smart  Baitani.
Tamasha hili kubwa  na la aina yake linalengo la  kutangaza shughuli za maendeleo na maisha ya jamii yetu nje na ndani ya Nchi.

BUKOBAWADAU BLOG  TUNAENDELEA KUWEPO UKUMBINI HAPA KWA HABARI NA MATUKIO ZAIDI, MDAU WAWEZA KUWASILIANA NASI KWA LOLOTE KUPITIA 0715 505043,0768 397241, KWA WATUMIAJI WA BBM  PIN NI 2794A145 KIKUBWA HAPA NI KAZI TU!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau