Bukobawadau

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA CAPT.JOSIAH JOHN MWESIGA HII LEO

Maofisa wa Jeshi la polisi wakiwa wamebeba Jeneza la mwili wa Capt. Josiah John Mwesiga.
 Marehemu mpaka Josiah mpaka kustaafu kwake alikua mkuu wa chuo cha CCP  Moshi.
Mamia wajitokeza katika mazishi pamoja na Viongozi mbalimbali wa Vyama na Serikali

Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi wakijadili jambo na kamishna mstaafu wa Polisi Mdau Alfred Tibaigana .
 Mwili wa marehemu ukiingizwa kaburini tayari kwa mazishi.

Hii ndio nyumba ya milele ya marehemu  Capt. Josiah John Mwesiga.
 Ni kitendo cha kuweka msalaba kaburini
Hakika sisi binadamu ni udongo
Ni kupitia Bukobawadau Blogspot pekekee unaweza kupata na kujua kila kinachotokea katika ukanda huu.
Mjane wa mareemu akiweka shada la maua.

Wadau wakiendelea na utaratibu wa kuweka mashada ya maua.
Ndg wafamilia wakiweka mishumaa
Heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu  Capt.Josiah.
Nyuso za majonzi, Simanzi na huzuni kwa ndg na jamaa wa familia ya marehemu Josian John Mwesiga.
Maneno ya shukrani kutoka kwa Mjane wa Marehemu.

BUKOBAWADAU BLOGSPOT TUNATOA  POLE KWA NDG NA JAMAA WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA HUU!!!

     INAENDELEA.....
Next Post Previous Post
Bukobawadau