Bukobawadau

SHEREKE YA KUPOKEA KIPAIMARA YA MTOTO SIMON SIMEO

Mtoto Simon Simeo katika pozi
Simon akikata Keki katika hafla fupi ya kumpongeza iliofanyika nyumbani kwao Busimbe
Mmoja kati ya mashuhuda Mdoo Simon.
Simon akiwalisha keke wazazi wake Baba na Mama.
Baba na Mama Simon kwa raha zao.
 Sehemu ya wadau waliohudhuli.
 Ikafika muda wa burudani kama wanavyo onekana Bibi na Babu wakijinafasi!!

BUKOBAWADAU BLOG TUNAMPONGEZA MTOITO SIMON KWA UBATIZO  WA KUMFANYA AWE MKAMILIFU ZAIDI!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau