Bukobawadau

MKUU WA MKOA WA MWANZA EVALIST NDIKILO AMEWATAKA WAANDISHI WA HABARI KUTUMIA KALAMU YAO KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI.

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.Evalist Ndikilo akiongea na wahandishi wa habari.
 Sehemu ya waandishi wa habari kutoka kanda ya ziwa na kanda ya kati walioshiriki katika semina ya sensa.
  Waandishi wa habari  wakimikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza katika semina ya siku iliyo anza hii leo jijini Mwanza.
Next Post Previous Post
Bukobawadau