Bukobawadau

SCHOOL BASH OF TALENTS KAGERA 2012 SEASON 3

Meza ya wasimamili wa mashindano  yanayoendelea ya kusaka vipaji kwa wanafunzi.
Wataalamu hawa pichani ndio majaji wa mashindano haya .
Washiriki katika kushusha mistari hakika vijana hawa wanauwezo mkubwa katika tasnia hii ya bongo flava

Hakika kwa uwezo huu  tayari anaitaji kuendelezwa.
Ubunifu wa mavazi uliwavutia mashabiki  wengi waliohudhulia  tamasha hili  na hii umwongezea pointi mshiriki


Mwendelezo wa tamasha hili umewagusa mamia wa vijana.
Next Post Previous Post
Bukobawadau