Bukobawadau

YALIVYO MATOKEO KAMILI YA UCHAGUZI WA UONGOZI MPYA WA YANGA

Nafasi ya Mwenyekiti:
Yusuf Manji (kura 1876)  97.0%,  John Jembele (kura 40) 2.6%,  Edgar
Chibura (kura 4) 0.24%
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti:
Clement Sanga (kura 1948) 62.6%, Yono S Kevela (kura 475) 23%, Ayoub
Nyenzi (kura 288) 14%

Nafasi ya Ujumbe:
Abdallah Bin Kleb (kura 1942), Moses Katabaro (kura 1068), Aaron
Nyanda (kura 922), Geroge Manyama (kura 682), Beda Tindwa (kura 391),
Edgar Fongo (kura 295),  Graticius Ishengoma (kura 247),  Jumanne
Mwamenywa (kura 251),  Justine Baruti (610),  Lameck Nyambaya (kura
425),  Omary Ndula (kura 170),  Peter Haule (441),  Ramadhan Said
(249),  Yono Kivela (123)

kutokana na matokeo yalivyo hapo juu safu ya viongozi waliochaguliwa ni
Mwenyekiti: Yusuf Manji,
Makamu Mwenyekiti: Clement Sanga
Wajumbe: Abdallah Bin Kleb, Moses Katabaro, Aaaron Nyanda, Geroge Manyama

BUKOBAWADAU BLOG TUNAWAPONGEZA WANACHAMA NA WASHABIKI WA DAR YANGA AFRICANS PIA  PONGEZI ZA PEKEE KWA MDAU WETU MOSES KATABARO KWA KUPATA UJUMBE!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau