Bukobawadau

TAMASHA LA VIJANA WA JIMBO LA MAGHARIBI KANISA LA ELCT LINALOUNDWA NA SHARIKA ZA KYAITOKE,BUTAINAMWA,KAIBANJA,REA,KIKOMERO,KITAHYA,RUHUNGA NA LUBARE.

Ni maandamano ya sherehe za vijana wa dhehebu la kikristu kanisa la ELCT iliyofanyika Kata Kitahya tarehe 14.07.2012.Sherehe hizi hufanyika kila mwaka kwa kupokezana vijana na akina mama, pichani wanaonekana vijana wakiwa katika maandamano.
Mgeni Rasmi Meneja wa shirika la Bima  la Taifa Ndg Ismaili  Bitegeko(katikati)picha ya pamoja na mchungaji mkuu wa Jimbo.
Mwenyekiti wa Vijana wa Kitahya akiendesha Ibada.
Usharika wa wanakwaya wa Kyaitoke wakiimba.
Pichani ni vijana wa kwaya ya Kaibanja.
Wadau wa usharika wa Kikomero kata  maarufu  maarufu kwa  gulio kubwa wakitumbuiza.
Pichani ni wachungaji wa sharika zinazounga Jimbo la North Western Diocese wa  Kanisa la ELCT.
 Washindi wa tamasha hili la Vijana wanakwaya wa Lubare wakitumbuiza.
Mchungaji Mkuu wa Jimbo Bw Derick Lwekika akitoa nasaha kwa vijana.
Mwenyekiti wa Vijana wa Jimbo la Magharibi Ndg Phidella Kateme akisoma risala mbele ya mgeni Rasmi. 

 JIMBO LA  NORTHERN WESTERN DIOCESE-JIMBO LA MAGHARIBI LINAUNDWA NA SHARIKA 8 ZA KYAITOKE,BUTAINAMWA,KAIBANJA,REA,KIKOMERO,KITAHYA,RUHUNGA NA LUBARE.
Next Post Previous Post
Bukobawadau