Bukobawadau

TAMASHA LA KIHISTORIA LA "IMUKA SINGERS" KUFANYIKA 11/7/2012 KATIKA UKUMBI WA COFFEE TREE INN HOTEL-NA MH.FABIAN MASSAWE KUA MGENI RASMI

Baadhi ya waimbaji wa  kikundi cha: "Imuka Singers" chenye mchanganyiko wa  vikundi mbalimbali vya kwaya na vikundi vya sanaa vilivyopo mkoani Kagera.
Ni kikundi kimoja  kilichotokana na  makundi 27,chenye wasanii wakali, mahili wenye uwezo mkubwa katika tasnia hii ya sanaa na utunzi wenye lengo la  kutumia Sanaa hii na Muziki kama kioo cha jamii ya Mtanzania na kutatua  matatizo ya kiuchumi katika jamii inayowazunguka.
Next Post Previous Post
Bukobawadau