Bukobawadau

ZIARA YA WANAFUNZI WA SHULE YA KEMEBOS KATIKA OFISI YA BIMA MJINI HAPA

Wanafunzi wakiwa makini kusikiliza mada juu ya huduma ya BIMA.
Afisa wa shirika la Bima Ndg Evans  Mwijage akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi juu ya swala zima la BIMA.
Walimu na wanafunzi wa KEMEBOS(Kaizige English Medium Boarding School) iliyopo Ijuganyondo katika Manispaa ya Bukoba wakipata kile kinachohusiana na swala zima la Insurance hususani katika somo la Commerce.
Next Post Previous Post
Bukobawadau