Bukobawadau

TUNAPOKEA SALAAM KUTOKA KWA MKURUGENZI WA LINAS NIGHT CLUB AKIWA LONDON NCHINI UINGEREZA

Baadhi ya picha nilizopokea kutoka kwa Mdau Mtensa akiwa nchini Uingereza,hapa anaonekana yupo mtaani na Mdau wake wa siku nyingi Ndg Mpindi Nsubuga .
 Moja ya sehemu muhimu Uingereza London Bridge
London Hi
 Pande za Ramsegete Beach kulia ni Mdau Rosemary(Patty)Visram
 Ramsegete Beach.
Yote juu ya yote Mdau Mtensa anasema hapa ndipo anapopumzika baada ya mitkasi ya kutwa nzima,.Blogger wako anakumbushia zawadi yake ya manukato tu!!!
Salaam nyingine ni kutoka kwa Mdau Adv. Ishengoma.
 Parliament Square.
 Mdau Nsubuga na Mkurugenzi Mtensa
 Akionyesha kuvutiwa na askari Polisi wanavyofanya kazi.
 Pande za West Ham station Mwisho tunakuomba kupitia (Older Post)ILI kupata matukio ya MUDA MCHACHE uliopita na  kwa habari za papo kwa papo kwa kuungana nasi kupitia  Facebook na Twitter @bukobawadau,@Dj cool Mc.Ndg Mdau kumbuka maoni yako ndio dira yetu katika kuendeleza libeneke hili mwisho kabisa  tunawatakia Waislam wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa RAMADHANI!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau