Bukobawadau

WADAU WANAPAMOJA WAMPELEKEA RAMBIRAMBI MWENZAO MDAU EUGIN KABENDERA

Anaonekana Mdau Kaka Mkuu Kiongozi wa Umoja huu wa wanapamoja  akitoa maelezo ya awali kabla awajamkabidhi mdau Eugine Kabendera kitita chache cha rambirambi kufuatia kufiwa na mwanae.
Anaonekana Mdau Stivin na wenzake wakisikiliza  kwa umakini kile anacho kielezea  Kaka Mkuu.
 Bi Rukia  katika hali ya usikivu
Wanapamoja wakiendelea kusikiliza Sera anazo zitoa kaka mkuu,kimsingi  vyama vipo vingi na ukutana mara kwa mara unakuta pakitokea tatizo eti mwanachama anachanga sh 500 badala ya kukusaidia chama ndio kinakua sehemu ya kukuongezea tatizo.
 Bi Salome katibu aemaliza muda wake akitoa hoja binafsi.
Mdau Bi Mainda Kassimu akimsikiliza katibu anae maliza muda wake.
 Mwanachama mpya bwana Sipembaakitoa neno kwa wenzake na kudai ameshawishika  kuingia Pamoja baada ya kuvutiwa na Sera za Umoja huu.
Kama ujuavyo umoja huu pamoja na kukufariji kama mwenzao kwa kitita cha  fedha aka mkwanjapia ujitoa kwa asilimia 100 kipindi chote cha msibaa kuanziaa mapokezi,kupika mpaka mazishipia uwa mstari wa mbele pale mwenzao anapofunga  pingu za maisha ufanya hekaheka,mashamsham na vikeleshendo vya hapa na pale hii yote ni kuonesha umoja wao.
Mdau Eugin Kabendera pichani aliwakarimu wanachama wake  kwa  Chakula na vinywaji
Mdau Optaty Henry akipata huduma ya Chakula.
Pichani ni Mdau Sudy akifanya kujiongeza.
 Huduma ya Chakula ikiendelea.
Kiongozi Kaka Mkuu akijazia kile anachokiweza.
 Bibi wa familia na Mama Mzazi wa Eugin wakipata Chakula
Mdau Mrs Eugin
 Mkurugenzi wa Jamco Video production Mdau Jamal Kalumuna akiwajibika .
Mdau Mr Matovelo (Muungwana) akikamua msosi.
Ni Mlezi Papaa Peter Raphael Mugisha pembeni ni Bi Betty Betina.
Mac Dommy akipelekea  msosi
 Mdau Patrick akiendelea kupata msosi.
 Kaka Mkuda na Kadanke Gilbart wakiwa tayari.
Kushoto ni Mdau Sipemba  mwanachama mpya katika Umoja huu.
Bi Salah na Mdau Ruge wakiendelea na msosi
Chui na London Salome na Hope Kasimbazi wa Makoko wakikamua menu!!
 Mwisho wadau wakiagana na familia na katika hili sijui kibaya ni nini hadi usiipende hii au"KAMUNOBELE"inahusika!!!!

WANAPAMOJA UPENDO,USHIRIKIANO NI ZAIDI ILA MAJUNGU, UZANDIKI,HUSUDA, HILA, KIJIBA NA MIZENGWE NI MARUFUKU KABISA!!!!

 Mwisho tunakuomba kupitia (Older Post)ILI kupata matukio ya MUDA MCHACHE uliopita na  kwa habari za papo kwa papo kwa kuungana nasi kupitia  Facebook na Twitter @bukobawadau,@Dj cool Mc.Ndg Mdau kumbuka maoni yako ndio dira yetu katika kuendeleza libeneke hili mwisho kabisa  tunawatakia Waislam wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa RAMADHANI!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau