Bukobawadau

BABA ASKOFU KILAINI AZUNGUMZIA SWALA LA SENSA NA KUSEMA ATASIMAMIA USEMI WAKE WA KULITAKA KANISA KATOLIKI KUUBILI UKWELI!!

 Baba Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba Methodius Kilaini akiongea na mwanahabara Nicolas Ngaiza wa 85.5 Kasibante Fm Radio Bukoba
Baba askofu msaidizi jimbo la Bukoba METHODIUS KILAIN, amesema kuwa ni muhimu kuhakikisha kazi na majukumu waliopewa kila kiongozi anayeosimamia zoezi la sensa yanatekelezeka kisheria ili kuondoa mianya ya Rushwa.
Askofu KILAIN amesema kuwa atasimamia usemi wake na kulitaka kanisa katoliki kuhubiri ukweli hata kama wakichukiwa na baadhi ya watendaji, ilimradi watekeleze sheria na haki kwa wananchi.
Ametumia nafasi hiyo kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika Agost 26 mwaka huu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau